Lazima awe naupeo, mana maisha yamempiga,maisha ya watuwote anayajua nikufuatilia maisha ya watu,bado ananafasi yakufanya, hatamchicha unatoa ,waandishi wahabari wanamfanyia kusudi maana washamjua kadata kimaisha,
From WASHINGTON... Dudubaya interview zake ni za hekima na huwa anasema ukweli saaana sana!! Anachokisema kuhusu Mange ni ukweli mtupu, ata Kenya hajulikani au ng'ambo HAJULIKANI kamwe... Maisha ni mafupi ila kuna watu watang'aa wakiondoka ulimwenguni.. ndio talanta ya kuimba ilikua kidogo lakini ako na wisdom kubwa sana huyu jama!!! He's a GENIOUS
🎉dudu unaongea ukwel serikali ingekupereka wizara ya sanaa ukasemea wasanii ikuangalie serikali kwa jicho ra tatu kunawaliosoma ila hawana kitu ulichonacho konk
Nimemfuatilia sana Dudu Baya. Jamaa anajua mambo mengi sana anafaa kuwa mchambuzi wa kiasiasa na anafaa kuwa Kiongozi kabisa. Akipewa platform anaweza acha alama.
Dudubaya mimi siwezi kuona interview yako na kuiskip lazima niitazame na kuiskikiliza kwa makini. Nimecheka sana eti wasanii wanafunika kwenye show lakini mfukoni wanafunikwa 😂😂😂😂😂
Kweli Dudu baya nakuunga mkono mbezi ya kamala kwa msumi heneo lote hakuna maji tuna nunua tu huu mwaka wa7 na wameweka mabomba njiani Yana Pata kutu.jaman jamani na codi tunatozwa.
we mwandishi mwongo uko kwenye mapagare beach ya silver send wanakaa watu waliokwama kwa hiyo dudu baya konki master ajanunua ilo eneo acha kutudanganya
Uyu dada BAYA ni mtu mwenye upeo wa kuelewa mambo na watu wa aina hii Huwa wanamisimamo.yao binafsi wakiamini kile wanacho kiamini bahati mbaya ya watu wa namna hii Huwa awapendi kujishusha au kujipendekeza mara nyingi ni watu wa kukataliwa pia maendeleo yao Huwa ya chini au kwa ugumu sana , maana Huwa hawapendi kuzurumiwa ,kuzarauliwa au kuwa vinamba wa watu wengine, mfano angalia watu kama wakina ,Mandela, Nyerere, magufuli, nawengine unao wajua wewe angalilia misimamo yao na maendeleo ya maisha yao binafsi, watu awa wapendi na wao awapendi kujipendekeza wapo lazi wawe masikini lakini asi aibishe utu au misimamo yake, ndio dudu BAYA alivyo ,zaidi yupo vizuri sana kwa mawazo na upeo wake , ndio Ile unakuta msomi mwenye uwelewa mkubwa au elimu sana , mara zote Huwa aliziki na mawazo ya wengine , uyu dudu BAYA serikali ingekuwa inaangalia aina za watu wa namna hii wangekuwa wanawapa majukumu flani flani ya usimamizi wa mambo yanayo itaji kufosi,
Nilichogundua ma interviewer wengi wa Tanzania hawana Extended knowledge about to investigate journalism matters, zaidi ya ushabiki wa mambo yasiyoumiza kichwa.
huwa namuelewa sana huyu jamaa mkuu wa takwimu. tusichokijua ni kwamba amebeba takwimu zote za muziki na wanamuziki. tatizo watanzania tunachekelea sana ujinga na kupuuza mambo ya msingi. watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa
Yaani napenda jinsi DUDU huwa na information,,, kajua hapa kwetu Kenya kuwa prezzo ametokea familia tajiri...We like u so much konki 🇰🇪
Napenda Sana kumsikiliza na kutizama interview za Dudu baya, konki master.. genius man,bravo bro you always speaking point.❤🇬🇧
Dudubaya ana upeo mkubwa Sana, tofauti na watu wanavyomchukulia.
Sana kabisa
Nikweli sema watu kama hawa wanadidimizwa ktk jamii
Lazima awe naupeo, mana maisha yamempiga,maisha ya watuwote anayajua nikufuatilia maisha ya watu,bado ananafasi yakufanya, hatamchicha unatoa ,waandishi wahabari wanamfanyia kusudi maana washamjua kadata kimaisha,
Dudubaya nimagufuli lakini hatujuwi tu.jamaa yupo vizuri sana .na tutamsifu akisha kufa kama ilivyo desturiyetu
From Nairobi Kenya God give u more strength dudu baya uko na elimu bora
From WASHINGTON... Dudubaya interview zake ni za hekima na huwa anasema ukweli saaana sana!!
Anachokisema kuhusu Mange ni ukweli mtupu, ata Kenya hajulikani au ng'ambo HAJULIKANI kamwe...
Maisha ni mafupi ila kuna watu watang'aa wakiondoka ulimwenguni.. ndio talanta ya kuimba ilikua kidogo lakini ako na wisdom kubwa sana huyu jama!!! He's a GENIOUS
Ilibid awe basata huyu!
Ye
S❤
Jamaa yuko vizuri mnoo kila nyanja big up to him konki master
Didn't know dudu is this wise and informative! Long live
Huyu manzee anafaa apewe ulinzi sanaa na akifa ajengewe sanamu. Salut sana kaka konki konki konki master. Much love from Kenya 🇰🇪
Dudu baya Kila interview lzma ataje Mungu,,,big up brother
Dah Jamaa Nilikuwa Namuona Siyo Kumbe Makini Sanaaaa, Aisee Nimempenda Bure
🎉dudu unaongea ukwel serikali ingekupereka wizara ya sanaa ukasemea wasanii ikuangalie serikali kwa jicho ra tatu kunawaliosoma ila hawana kitu ulichonacho konk
Huyu Muongeaji wa Ukweli kwahiyo hiyo Wizara Ya Sanaa Hawawezi Kumpa Ingekuwa kipindi Cha Magufuli sawa ila so Kwa kipindi Hiki
Nimemfuatilia sana Dudu Baya. Jamaa anajua mambo mengi sana anafaa kuwa mchambuzi wa kiasiasa na anafaa kuwa Kiongozi kabisa. Akipewa platform anaweza acha alama.
Naibu waziri mwana fa kaa Na konki master atakuwa anakupa ushauri mzuri sana jamaa anajua mambo mengi sana
Raiya wa burundi 🇧🇮 dudu baya wakweli nakuthamini sana sinakitu msanii wangu nigekutumiya zawadi kwakweli una stori safi
Mama samia mpe ukuu wa wilaya dudu baya
Dudubaya mimi siwezi kuona interview yako na kuiskip lazima niitazame na kuiskikiliza kwa makini. Nimecheka sana eti wasanii wanafunika kwenye show lakini mfukoni wanafunikwa 😂😂😂😂😂
Akili kubwa sana kaka Dudu hongera sana
point sana dudu baya pongezii kwako👊🏿
Kaka una madini sana unajua kupambanua ishu wachache sana Wana uwezo wa kufikiri kihivyo hasa hawa wasanii wetu.
Naombeni namba ya simu ya Mamba nimrushie hela ya maji meupe.
huyu dudubaya alipaswa aapewe ajira kitengo cha basata au wizara ya tamaduni sanaa na michezo tena position ya operation haki
I respect dudu baya!!! Big up
Dude baya ni kichwa sana hajawahi kurupuka kwanza ni mwanamziki anayejutambua ipo siku Mungu atamkumbuka.vumilia yatapita tu.
Sikujua kama Dudu baya anaakili kama hii. Hongera sana.
Big up sana Mtumishi wa Mungu yafanye mapenzi ya Mungu tu ndo kila kitu usikubali mtu kuitikisa imani yako kisa pesa❤
😂 nampenda sana dudubaya
Konki master umenifunguwa ubongo sasa nimehelewa, hongera sana
Kwa mara ya kwanza namuelewa DUDU BAYA NA NAMPIGIA SALUTE. Hii ni observation na uelewana mpana sana kwenye tasnia ya sanaa ya muziki.
Dudu umetuvimbua meng sana big up kwako
Wabongo flavor legend wakikuwa wanaspend sana life bila kuwekeza
Sikuwahi kufatilia interview yako hata moja, najuaga ni dudu baya ila sijuagi kama una mapoint hivi. Big up
Daah inaumiza sana mm sio msanii lkn wanapigwa sana....!,kaka umenena ukweli mtupu...!
Makini sana
Kweli Dudu baya nakuunga mkono mbezi ya kamala kwa msumi heneo lote hakuna maji tuna nunua tu huu mwaka wa7 na wameweka mabomba njiani Yana Pata kutu.jaman jamani na codi tunatozwa.
Konki Master big up
DUDU WACHA WAKUCHUKIE TU . ILA UNASEMA KWEL SANA WASANII WA BONGO WANATESEKA SANA MADOGO VICHWA PANZI WENGI✊✊
Konki master ana akili sana huyu mtu, sikumdhani kabisa
Kumbe Dudu baya una akili hivi! Nakupata ni kiwa DRCongo.
Dudu wewe ni mahili katika katika fani yako. Big up.
Huyu ndio mtetezi wa wasanii tz big up dd by
Jamaa umetisha sana na pia kama ni kutangaza unaweza kaka na mimi naomba ufanye vipindi hivi hivi vya burudani.
This man is full of wisdom.
we mwandishi mwongo uko kwenye mapagare beach ya silver send wanakaa watu waliokwama kwa hiyo dudu baya konki master ajanunua ilo eneo acha kutudanganya
Afya bado haijakaa vizuri 😮 Mungu akuponye tuu 🙏
Mimi ni mwanamuziki nimemuelewa sana konki leo
Naomba naomba ya dudu baya
Much love bro
Dudu chafu imekubali kirahisi Sana kichwa inafanya kazi huyu kakosa sapoti anafaa kuwa mwanasiasa %95
Huyu ni mwanasiasa sijui anapoteza mda Kwa nini kwenye usanii.
. true
Duh Leo.nimemkubali
Uko vzr broo nakukubali sna una madini
Dudu baya ana stori sana na huchoki kumsikiliza
Mbarikiwe sasa Huduma baba respect 💪💪neema Mungu awe nawe
Huyu koki namuelewa sana ,ni watu wachache wa namnahii .Anaupeo mkubwa sana .maana ushahidi wa maneno yake pia anawo
Gonga like tumuunge mkono.
❤
Uko vzr mdogo wangu Tumaini
Big up bro........attractive stories,,
Akili kubwa sana 👏👏👏👏
Nashindwa kumchukia konk master maanake nampenda buree
nakupendaka saaaaana dudu baya unaongeyaka ukweli saaana love you so much from Congo DRC
wasanii wa zamani wana uelewa mpana sana sikiliza maishairi yao ndo utajuwa.
Dudu bayaaa anavochekaaaa ujinga wa Mr. Nice utadhani ni mazuri
Unafaa upate elimu ya kisiasa nzuri upate uongozi utafaa sana
Mbona ngosha leomkali sana.
😂😂😂😂dah dudu noma sana bro
Dudu ,mtu safi sana.
Kichwa sana hiki ✍
Uyu dada BAYA ni mtu mwenye upeo wa kuelewa mambo na watu wa aina hii Huwa wanamisimamo.yao binafsi wakiamini kile wanacho kiamini bahati mbaya ya watu wa namna hii Huwa awapendi kujishusha au kujipendekeza mara nyingi ni watu wa kukataliwa pia maendeleo yao Huwa ya chini au kwa ugumu sana , maana Huwa hawapendi kuzurumiwa ,kuzarauliwa au kuwa vinamba wa watu wengine, mfano angalia watu kama wakina ,Mandela, Nyerere, magufuli, nawengine unao wajua wewe angalilia misimamo yao na maendeleo ya maisha yao binafsi, watu awa wapendi na wao awapendi kujipendekeza wapo lazi wawe masikini lakini asi aibishe utu au misimamo yake, ndio dudu BAYA alivyo ,zaidi yupo vizuri sana kwa mawazo na upeo wake , ndio Ile unakuta msomi mwenye uwelewa mkubwa au elimu sana , mara zote Huwa aliziki na mawazo ya wengine , uyu dudu BAYA serikali ingekuwa inaangalia aina za watu wa namna hii wangekuwa wanawapa majukumu flani flani ya usimamizi wa mambo yanayo itaji kufosi,
Kweli kabisa jamaa ❤
Nilichogundua ma interviewer wengi wa Tanzania hawana Extended knowledge about to investigate journalism matters, zaidi ya ushabiki wa mambo yasiyoumiza kichwa.
Dudu Baya Genius sana
Nimekuelewa vizuri sana dudu baya
Hahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila Dudu eti kafunika show ila mfukoni kafunikwa
Jamaa kama ana madin iviiiii au wenzangu mnaonajeee
Tena madini yakutosha
Nimekupata konki master
😢😢😢usimdharau usiyejua mjua.dudu baya ana kitu.
Dudu Baya nenda kwa maombi utapona. Ushawapiga sana watu especially wanga sasa wanakuumiza afya yako
Mzee wa ndivyo ulivyo nakupenda tu big hope TUMAINI WILLIAM
aisee dud umeongea vizuri sana mN
Konki master yupo vizuri sana
Mama Samia amtazame huyu mtu kwa jicho la tatu kwakweli❤
Jamaa anaongea point sana
Tuonyeshe kwenye waishi mzee
Kwani Dudubaya kaja kwa mamako kumuomba pa kulala?
Au umetumwa na Samia kwa kuwa jamaa aikosoa regime yake?
Nakupenda sana mwanetu
😅😅😅 Jamaa kanyooka aiseee
Dudu bayanfor ever
Wewe dudu ni mtu muhimu sana kwetu
Wawoo
Kaka dudu baya
Nimekukubali
Kaka mkubwa. mwamba kabisa🙌🙌kisima cha madini
Dudu uko vizuri snaa
Sema hili jamaa linaakili 🫡
Hahaaaaa nimecheka Sana kweli Mr nice ni mbwa
Unakosea hapo kwenye kumponda babaake ambae hausiki na ugomvi wenu na huyo mange.Hivyo hana hatia
Dudu umetisha sana. Hala baby😂
msanii ana vitu vingi ila mtangazaji bado uwezo wako wa kuhoji upo chini, unauliza vitu ovyo ovyo
Huyu dudubaya ni lulu awekwe sehemu asikilizwe kwa umakini anavitu vingi sana vya kueleweka
Dudu nimtu mwenye upeo mkumbwa sana nimkweli daima
Dudu baya uko vizuri sana
Respect dudu baya 🇹🇿🙏
Jamaa achukue nchi tu... Anajua kila dhuluma Ya watanzania😢